Fahamu namna ya Kudhibiti wadudu waharibifu kwenye maharage
Maharage ni moja kati ya mazao amabayo yanalimwa sana pia ni moja kati ya mazao yanayo waongezea kipato wakulima wengi sana nchini Tanzania
Maharage hupandwa mahari kwenye muiniko wa mita 400-2000 kutoka usawa wa bahari kwenye udongo usio tuamisha maji
Katika kilimo cha maharage kuna wadudu wanaitwa funza wa maharage ambao wanashambulia mimea michanga ya maharage na wanaweza kusababisha uharibifu mkubwa na wadudu wengine ni wanao kula maua kwa kutoboa vitumba na mbegu pamoja na wale wale wanao bangua ghalani
Jinsi ya kujua namna ya kudhibiti wadudu waharibifu kwenye maharage, tafadhali angalia video hapo chini