. Inazuia Ugonjwa wa (UTI.) Yaani Urinary tract infection
. Inapunguza cholesterol mbaya mwilinI
. Huondoa chunusi na madoa kwenye ngozi
. Inawezesha usagaji mzuri wa chakula mwilini
. Huondoa gesi kwenye utumbo mwembamba ambayo mara nyingi husababishwa na vyakula tunavyokula hivyo hupunguza utoaji gesi chafu (kunyampa) kwa kiasi kikubwa sana
. Inaondoa maumivu,muwasho,na uvumbe(antinflammatory)
. Inashusha sukari kwenye damu.(lower blood sugar)
. Inazuia magojwa ya tumbo yasabaishwayo na bacteria
aina ya Salmonella.moja ya magonjwa haya ni kuumwa
tumbo na kuhara.
. Inazui kutapika na hali ya kuvurugika tumbo