UMUHIMU WA KUTUMIA MAJANI YA TUNDA LA STAFERI

Share:

Majani ya stafeli yana faida zifutazo katika mwili wa binadamu

Ni tiba ya asili ya maumivu ya mishipa, yasage majani yake mpaka yalainike kabisa kisha paka taratibu eneo la mshipa lililo na maumivu mara 2 kwa siku
Huongeza kinga ya mwili
Hutibu maumivu ya nyuma ya mgongo/low back pain
- Hutibu jipu na vivimbe
Hurekebisha usawa wa kiasi cha damu sukari mwilini
Huongeza stamina ya mwili na kurahisisha kupona haraka unapokuwa mgonjwa
Hutibu maumivu ya jongo/gout
Hudhibiti ukuwaji wa bacteria, virusi, vijidudu nyemelezi
-