KUPALILIA-Kwa tafsiri rahisi kupalilia ni ilie hali ya kuondoa mImea au majani ya siyo itajika(magugu) shambani. kwa kitaalamu kitendo hiki kinaitwa (WEEDING).
Mkulima unaweza kuchagua njia sahihi ya kupalilia kulingana na uwezo, ukubwa wa shamba na aina ya mimea uliyo panda, kuna njia tofauti tofauti ya kupalilia kama zifuatazo
- kwa kung'olea
- kwa kutumia jembe la mkono
- kwa kutumia jembe la ng'ombe
- kwa kutumia madawa(herbicides)
MAGUGU- magugu ni mmea wowote ule unao ota sehemu ambayo haiitajiki katika shamba
MADHALA YANAYO TOKANA NA UWEPO WA MAGUGU SHAMBANI ni kama zifuatazo
- kufa kwa mimea
- uwepo wa wadudu waharibifu
- upunguza wa ubora wa mazao
- mazao kugombea kwa mwanga
- Mazao kugombea kwa virutubisho
NOTE; Hivyo ni muhimu sana kuzingatia kupalilia mapema na unaweza kupalilia mara mbili au zaidi kulingana na aina ya mmea au zao.