FAIDA YA KUTUMIA JUISI YA MATANGO NI KAMA ZIFUATAZO;
Huondoa sumu mwilini(toxins)
Juisi ya matango huwa kama fagio ambalo linasafisha uchafu wote ndani ya mwili,Ulaji wa matango mara kwa mara huyeyusha mawe kwenye figo(dissolve kidney stones).
Juice ya matango inatibu na kuondoa harufu mbaya kweny fizi
Juice ya matango inatibu na kuondoa harufu mbaya kweny fizi zllizodhofika na magonjwa
Chukua tango na uisage mpaka iwe juisi kisha kunywa kwenye mdomo wako kwasababu pythochemicals ambazo zipo kwenye tango zitaua bacteria waliopo mdomoni mwako ambao wanasababisha harufu mbaya.
Husaidia kupambana na joto kali ndani na nje ya mwili
Kunywa juisi ya tango husaidia kupunguza joto kali ndani ya mwili(heartburn) na pia kupaka kwenye ngozi kutakusaidia kupunguza kuungua kwa jua
Juisi ya matango inaongeza afya ya joint
Matango yanaongeza afya ya joint na kuondoa maumivu ya kwenye magoti na arthritis
Kwa maana yana silica nyingi yanapochanganywa na karoti kutengeneza juice yanaondoa maumivu ya magoti kwa kushusha level ya uric asidi.
Juisi ya matango inasaidia kupambana na kansa
Matango yana secoisolariciresinol,lariciresinol na pinoresinol,vitu hivi vitatu husaidia kupambana na kansa ya titi,kansa ya mfuko wa uzazi,tezi dume, na kansa ya yai la kike(ovarian).
Husaidia kutibu kisukari,kupunguza lehemu na kudhibiti presha
Juisi ya matangoa ina hormone inayohitajika na kongosho kwa ajili ya kuzalisha insulin, na pia ina compound(muunganik wa kikemikali) inayoitwa sterol ambayo husaidia kudhibiti presha,Pia matango yana madini ya potassium na magnesium na fiber ,vitu hivi husaidia kudhibiti presha
Hii ndio sababu matango ni mazuri kutibu presha ya kushuka na presha ya kupanda