Faida ya kula Bamia Kwa Afya Yako Binafsi

Share:

Kidonda Ndugu (CANCER)
Bamia husaidia kuweka Utumbo kuwa na hali nzuri hivyo kupunguza uwezekano wakuungua ugonjwa huu wa Kansa hasa kwenye utumbo mkubwa.

Asidi ya Kujirudia rudia na kufunga Choo
Tafuna vipande sita vya Bamia bila kutumia dawa nyingine kilasiku na Asidi ya Kujirudia rudia na kufunga choo kutakwisha, inashusha, inashusha Sukari kutoka 135 hadi 98.

Usongo na Kukosa Nguzu
Bamia ni mboga bora zaidi kwa wale wanaojisikia dhaifu. Kuchoka na wanao athirika na Usongo

Pumu
Bamia ina Vitamin C ambayo inawafana watoto wanaougua ugonjwa wa pumu kupumua vizuri wanapoitumia. Nusu kikombe ya Bamia iliyopikwa huwa na miligramu 13 ya vitamin C.

Vidonda vya Tumbo
Bamia hutumika kwa kutibu vidonda vya Tumbo inasaidia kusawazisha Asidi. Magonjwa Maalum

Cataracts
Nusu kikombe cha Bamia iliyopikwa inakua na kiwango cha 460 IU ya vitamin A. ambayo inapunguza uwezekano na kupata ugonjwa wa mtoto wa jicho