JINSI YA KUANDAA CHAKULA CHA KUKU

Share:

JINSI KUANDAA CHAKULA CHA KUKU KUANZIA WIKI LA 1- HADI WIKI LA 8.
Mahitaji.
- Pumba 60kg
 Mahind ya kuparaza 10kg
 Mashudu alizeti 10kg
- Dagaaa 15kg
- unga wa mifupa 5kg
- Chumvi ½
- premix ¼
Mara baada ya kuanda mahitaji hayo changanya vyote ili kupata mchnganyiko wa chakula.

CHAKULA CHA KUKU, KUANZIA WIKI LA NANE NA KUENDELEA.
Mahitaji
Pumba ya mahindi yenye chenga- kg 38
- Mashudu ya alizeti- kg 7.5
- Mabaki ya dagaa - kg 1.5
- Chokaa ya kuku - kg 0. 5
- Unga wa mifupa - kg 0.5
- Lusina - kg 2
- Chumvi - kg 0.25
Mara baada ya kuanda mahitaji hayo changanya vyote ili kupata mchnganyiko wa chakula.