Juisi ya tangawizi ni nzuri kwa matumizi ya binadamu na inatengenezwa kwa tangawizi kubwa nne, vijiko vikubwa saba ya asali mbichi, parachichi na maji lita na nusu
Juisi hii ya Tangawizi kwa mtu mzima unaweza kunywa glasi moja yenye ujazo wa robo lita mara mbili kwa siku (asubuhi na usiku) na mtoto wa miaka mitano mpaka kumi na moja anaweza kunywa glasi moja mara moja kwa siku.
Faida 21 za juisi ya Tangawizi ni kama zifuatazo
-
Huua bakteria wa aina
nyingi mwilini hata salmonella ndani ya mwili hata juu ya ngozi
-
Tangawizi huua kimeng’enya ambacho ni chakula cha seli za kansa ya
tezi dume kiitwacho ‘5-LO enzymes’ na seli hizo za kansa hufa
ndani ya masaa mawili au manne bila hicho kimeng’enya.
-
Huondoa sumu mwilini haraka sana
-
Huondoa uvimbe mwilini
-
Huondoa homa hata homa ya baridi (chills)
-
Huondoa msongamano mapafuni
-
Kuna viua vijasumu (antibiotics) vya asili viwili kwenye tangawizi
-
Huondoa sumu mwilini haraka sana
-
Huondoa maumivu ya kooHutibu saratani ya tezi dume.
-
Ni dawa nzuri kwa kansa ya kwenye damu (leukemia)
-
Huongeza msukumo wa damu
-
Hutibu kansa zinazoweza kusababishwa na kupata choo kigumu muda mrefu
(constipation-related cancer)
-
Hupunguza mishtuko kwenye utumbo mpana na tumbo kuunguruma
-
Husaidia kuzuia kutapika. Husaidia hata wale wanaosafiri baharini
wasipatwe na kichefuchefu
-
Hutibu homa ya kichwa
-
Huimarisha afya ya figo
-
Hulinda kuta za moyo, hulinda mishipa ya damu na mishipa ambako
mikojo hupita
-
Ina madini ya manganese ambayo ni mhimu katika kuuongeza mfumo wa
kinga ya mwili dhidi ya magonjwa mbalimbali.
-
Hutibu homa za asubuhi hata kwa mama mjamzito
-
Husaidia mfumo wa upumuaji na kutuliza dalili za pumu
-
Husaidia kuzuia kuharisha