Faida za GILIGILIANI katika AFYA ya BINADAMU

Share:
. Inazuia Ugonjwa wa (UTI.) Yaani Urinary tract infection

.  Inapunguza  cholesterol mbaya mwilinI

. Huondoa chunusi na madoa kwenye ngozi

. Inawezesha usagaji mzuri wa chakula mwilini

. Huondoa gesi kwenye utumbo mwembamba  ambayo mara nyingi husababishwa na vyakula tunavyokula hivyo hupunguza utoaji  gesi chafu (kunyampa) kwa kiasi kikubwa sana

. Inaondoa maumivu,muwasho,na uvumbe(antinflammatory)

. Inashusha sukari kwenye damu.(lower blood sugar)

. Inazuia magojwa ya tumbo yasabaishwayo na bacteria 

aina ya Salmonella.moja ya magonjwa haya ni kuumwa 

tumbo na kuhara.

. Inazui kutapika na hali ya kuvurugika tumbo