Mnyonyo (KiSwahili) Erand (KiHindi) Kastorka (KiRusi) ni mmea wa jamii ya Mbono Kaburi, kwa jina la kitaalamu Japtropha
-
faida za mnyonyo na mazao yake.
Majani ya mnyonyoyanaweza kutumika kama tiba ya ugonjwa wa Kifua Kikuu (TB), kukanda (massage) ili kuondoa maumivu na majani haya yakifungwa kwenye mguu unaouma huleta nafuu hasa kwa maumiviu yanayokuja baada ya kuteguka, pia hutumika kutibu uvimbe kwa wanyama.
Kwikwi
Ili kuweza kutibu kwikwi, Jaza maji kwenye kikonyo, mpe mgonjwa anywe kila baada ya dakika 3 mpaka kwikwi iishe.
Suluhisho ya Kaswende na KisononoPonda mizizi ya mti wa mnyonyo, kisha chemsha na tumia kunywa glasi moja mara mbili kwa siku kwa muda wa siku saba
Kuondoa Kondo La Nyuma
Mizizi ya mti wa mnyonyo ikitafunwa na mama mjamzito yafaa kwa kutoa mfuko wa uzazi ( kondo la nyuma ) kwa urahisi na usalama zaidi
Tahadhari:
- Mnyonyo ni mti wenye sumu inayoweza kuua binadamu au wanyama endapo itatumika kuzidi kipimo.
- Mazao
yoyote yatokanayo na mnyonyo huhatarisha au/na kuharibu mimba na
hata kuweza kusababisha kifo cha mjamzito, hivyo, matumizi yake
lazima yawe ya uangalifu mkubwa.
-