KILIMO BORA CHA KAHAWA

Share:
UTANGULIZI
Asili:kwa mujibu wa wataalam hasiri ya kahawa ni katikati ya Ethiopia.
kusambaa: kutoka Ethiopia kahawa ilisambaa hadi india, uturuki, italia, vinna, british na Afrika mashariki
Tanzania –ulimwa mlima Kilimanjaro na kusini kwa Mlima. Meru, Oldeani in Ngorongoro Highlands, milima ya Uluguru , kaskazini ya Mara, Kigoma, Kasulu, Kibondo, Rungwe, Mbeya, Mbazi na milima ya Usambara 
Kenya – Ol Donyo Sabuk, Machakos, Nakuru na Rift Valley.

 Uganda – wilya za Bugisu na Mlima Elgon, Kigezi, Ankole, Toro na Nile

MVUA NA MAITAJI YA MAJI
Kahawa kwa sasa hulimwasana katika maeneo ya kitropikia,
JOTO;
Huitaji joto la 17 hadi 23 degree centrigrade Pia kahawa huitaji kiasi cha mvua 1500 – 1200 mm kwa zaidi ya miezi 8

Kahawa ni moja ya zao ambayo huasirika na jua kali hivyo ni muhimu sana kupanda miti ya kivuli shambani

PH 

kahawa husitawi vizuri kwenye udongo wenye chumvi chumvi 4.5 to 5.6, pia udongo wenye uwezo

wa kuhifadhi maji lakini kahawa husitawi vizuri sana kwenye udongo wenye asili ya volicano na
udongo ambao haujawai kulimwa (virgin soil)

KUANDAA SHAMBA
Katika kuandaa shamba la kupanda kahawa miti mikubwa na  miamba mikubwa hung’orewa
Kwa maeneo ambayo yanaweza kutifuliwa mbolea kama phosphorus inatakiwa kuwekwa mara
nyingi shamani kabla ya kuamishia mche shambani. Na maeno ambayo hapawezi kutifuliwa
mashimo huweza kuwekwa na buldoza.

Mashimo ni lazima yawe makubwa na yenye kina kirefu  kuwezesha kuto vunja mizizi wakati wa
kuhamishia mimea shambani.
Kahawa hupandwa kwa kutumia michea ambayo imekuzwa kwenye vifuko.
Nafasi ya kupada ni 3m x 3m kwa kiasi cha mimea 1280 plants/ha.
Miti ya kivuli kama vile m leucaena inawezwa kupandwa kwa 6m x 6m.

KUANDAA SHAMBA
Katika kuandaa shamba la kupanda kahawa miti mikubwa na  miamba mikubwa hung’olewa

Kwa maeneo ambayo yanaweza kutifuliwa mbolea kama phosphorus inatakiwa kuwekwa mara
nyingi shambani kabla ya kuamishia mche shambani. Na maeneo ambayo hayawezi kutifuliwa
mashimo huweza kuwekwa na buldoza.

aMashimo ni lazima yawe makubwa na yenye kina kirefu  kuwezesha kuto vunja mizizi wakati wa
kuhamishia mimea shambani.

Kahawa hupandwa kwa kutumia michea ambayo imekuzwa kwenye vifuko.

Nafasi ya kupada ni 3m x 3m kwa kiasi cha mimea 1280 plants/ha.

  Miti ya kivuli kama vile m leucaena inawezwa kupandwa kwa 6m x 6m. 

MBOLEA
Unatakiwa kuzingatia kutumia udongo wenye rutuba ya kutosha
.Unaweza pia kutumia mbolea ya asili

KUVUNA
. Kahawa huwa tayari kuvunwa miezi 8 hadi 9 kutoka kipindi ambacho maua yamechomoza
unatakiwa kuvuna matunda ambayo yamesha iva na kubabadilika rangi kua nyekundu

. Ukivuna matunda ambayo bado hayaja iva usababisha kahawa kua chungu sana

. Katika maeneo ya kitloupikia unaweza kuvuna mara moja kwa mwaka.

MAGONJWA  NA WADUDU
Kutu majani/Coffee Leaf Rust (Hemileia Vastatrix)
Huu ni ugonjwa wa fangas ambayo hushambulia majani tu na . na unaweza kuzuia kwa kuwekea
nyasi kuzunguka mmea wakati wa kupanda na kuweka mbolea.

Magonjwa ya tundaCoffee Berry Disease (CBD) (Colletotrichum Kahawae)
.Huu ugonjwa hushambulia matunda ya kahawa katika kipindi cha kutoka katika ua na kua kuiva

Ubuli unga/Coffee wilt disease, also known as Tracheomycosis (Gibberella xylarioides)
Hii ushambulia sehemu za chini za mmea na hushambulia zaidi mimea midogo