FAHAMU MAGONJWA YANAYOTIBIKA KWA MBEGU ZA MABOGA
Mbegu za maboga zina wingi protini na madini ya kutosha ambayo ni muhimu sana katika miili yetu.
Madini yanayopatikana katika mbegu za maboga kama vile zinki, kopa, maginizia, manganizi na chuma.
Tafiti mbalimbali zimethibitisha pasipo na shaka kuwa mbegu za maboga zina faida nyingi kiafya na zina uwezo wa kukuepusha na magonjwa hatari
faida za kula mbegu za maboga ni kama zifuatazo
- Huboresha akili na kumbukumbu kwa watoto na watu wazima
- Husaiduatia uzalishaji wa maziwa kwa wingi kwa kina mama wanaonyonyesha.
Hivyo kwa mama anenyonyesha anashauriwa kutumia mbegu za maboga kwa wingi ili kuzalisha maziwa kwa wingi.
- huondoa harufu mbaya ya kinywa na husaidia pia wenye tatizo la kufunga choo au kupata choo
- Huondoa sumu mbalimbali mwilini na hasa kwenye figo.
- Husaidia kuondokana na matatizo ya unene unaotokana na wingi wa mafuta ( cholestrol) mwilini.
- Ni kinga dhidi ya kansa ya kizazi kwa wanaume na wanawake
-