ZIJUE FAIDA YA UBUYU KWA AFYA YA BINADIMU

Share:
Kila mti au mmea una makusudio yake. Mbuyu ni miongoni mwa miti yenye faida nyingi na maajabu mengi. 
ubuyu unaelezwa kuwa na vitamini na madini mengi kuliko matunda mengine na Vitu vyote vilivyomo kwenye mbuyu vinatumika kama chakula au dawa kwa faida ya binadamu.
Faida ya ubuyu kwa afya ya binadamu ni kama zifuatazo

Vitamini B3 na B3
Ubuyu una vitamini B3 na B2 ambayo ni mhimu katika kuondoa sumu mwilini na umeng’enyaji wa madini ya chuma, kimsingi vyakula vyenye afya zaidi kwa ajili ya mwili ya binadamu huwa pia huwa na vitamin B2
Magnesiam
Ubuyu una magnesiam ambayo husaidia kujenga mifupa na meno
vitamini C
Inaelezwa kuwa unga wa ubuyu una vitamini C nyingi mara 6 zaidi ya ile inayopatikana katika machungwa.

virutubisho
Ina virutubisho ambavyo hulinda mwili na husaidia kuzuia kuharisha na kutapika
Presha na figo
Husaidia wenye presha ya kushuka na wenye matatizo ya figo
kinga ya mwili 
Unaongeza kinga ya mwili sababu ya kuwa na kiasi kingi cha vitamini C